Utangulizi, jalada, anwani, maudhui, wahusika, mbinu za usemi, maswali n.k.

En Son Sürüm

Sürüm
Güncelleme
5 Eyl 2023
Geliştirici
Kategori
Google Play ID
Yükleme sayısı
10.000+

App APKs

Mwongozo wa Bembea ya Maisha APP

Madhumni ya kuandika mwongozo huu ni kumrahisishia mwalimu na mwanafunzi kazi na kumpa mwelekeo unaofaa. Mwongozo huu umeeangazia masuala ibuka katika utahini wa karatasi ya tatu ya kiswahili katika mtihani wa KCSE.

Kitabu hiki kimeangazia vipengele vya uandishi wa Fasihi andishi. kv Mtindo, Dhamira, Wahusika, Muundo, Maudhui, Lugha nk

Tamthilia ya 'Bembea ya Maisha' ni Kitabu ambacho kimeandikwa na Mwandishi shupavu na mashuhuri nchini kenya Timothy Arege ambaye pia aliandika Tamthilia ya 'Mstahiki Meya'. nk

İletişim bilgileri:
Tel: +254718055483
E-posta adresi: mwalimusifuna@gmail.com
WhatsApp: https://api.whatsapp.com/send?phone=+254718055483
Facebook sayfası: https://www.facebook.com/profile.php?id=100088220378456
YouTube kanalı: https://youtube.com/@mwalimu_Sifuna
Devamı

Reklam