Mwongozo wa Bembea ya Maisha APP
Kitabu hiki kimeangazia vipengele vya uandishi wa Fasihi andishi. k.v. Mtindo, Dhamira, Wahusika, Muundo, Maudhui, Lugha n.k
Tamthilia ya 'Bembea ya Maisha' ni Kitabu ambacho kimeandikwa na Mwandishi shupavu na mashuhuri nchini kenia Timothy Arege ambaye pia aliandika Tamthilia ya 'Mstahiki Meya.' n.k
Contactgegevens:
Tel: +254718055483
E-mailadres: mwalimusifuna@gmail.com
WhatsApp: https://api.whatsapp.com/send?phone=+254718055483
Facebook-pagina: https://www.facebook.com/profile.php?id=100088220378456
YouTube-kanaal: https://youtube.com/@mwalimu_Sifuna