Mwongozo wa Bembea ya Maisha APP
Kitabu hiki kimeangazia vipengele vya uandishi wa Fasihi andishi. kv Mtindo, Dhamira, Wahusika, Muundo, Maudhui, Lugha n.k
Tamthilia ya 'Bembea ya Maisha' ni Kitabu ambacho kimeandikwa na Mwandishi shupavu na mashuhuri nchini kenya Timothy Arege ambaye pia aliandika Tamthilia ya 'Mstahiki Meya.' nk
Informazioni sui contatti:
Telefono: +254718055483
Indirizzo e-mail: mwalimusifuna@gmail.com
WhatsApp: https://api.whatsapp.com/send?phone=+254718055483
Pagina Facebook: https://www.facebook.com/profile.php?id=100088220378456
Canale YouTube: https://youtube.com/@mwalimu_Sifuna