Utangulizi, jalada, anwani, maudhui, wahusika, mbinu za usemi, maswali n.k.

Dernière version

Version
Mise à jour
5 sept. 2023
Développeur
Catégories
Google Play ID
Installations
10 000+

App APKs

Mwongozo wa Bembea ya Maisha APP

Madhumni ya kuandika mwongozo huu ni kumrahisishia mwalimu na mwanafunzi kazi na kumpa mwelekeo unaofaa. Mwongozo huu umeeangazia masuala ibuka katika utahini wa karatasi ya tatu ya kiswahili katika mtihani wa KCSE.

Kitabu hiki kimeangazia vipengele via uandishi wa Fasihi andishi. kv Mtindo, Dhamira, Wahusika, Muundo, Maudhui, Lugha n.k

Tamthilia ya 'Bembea ya Maisha' ni Kitabu ambacho kimeandikwa na Mwandishi shupavu na mashuhuri nchini kenya Timothy Arege ambaye pia aliandika Tamthilia ya 'Mstahiki Meya.' nk

Informations de contact:
Tél : +254718055483
Adresse e-mail : mwalimusifuna@gmail.com
Whatsapp : https://api.whatsapp.com/send?phone=+254718055483
Page Facebook : https://www.facebook.com/profile.php?id=100088220378456
Chaîne YouTube : https://youtube.com/@mwalimu_Sifuna
Lire la suite

Publicité