Utangulizi, jalada, anwani, maudhui, wahusika, mbinu za usemi, maswali n.k.

Última Versión

Versión
Actualizar
5 sept. 2023
Desarrollador
Categoría
Google Play ID
Descargas
10.000+

App APKs

Mwongozo wa Bembea ya Maisha APP

Madhumni ya kuandika mwongozo huu ni kumrahisishia mwalimu na mwanafunzi kazi na kumpa mwelekeo unaofaa. Mwongozo huu umeeangazia masuala ibuka katika utahini wa karatasi ya tatu ya kiswahili katika mtihani wa KCSE.

Kitabu hiki kimeangazia vipengele vya uandishi wa Fasihi andishi. kv Mtindo, Dhamira, Wahusika, Muundo, Maudhui, Lugha nk

Tamthilia ya 'Bembea ya Maisha' ni Kitabu ambacho kimeandikwa na Mwandishi shupavu na mashuhuri nchini kenia Timothy Arege ambaye pia aliandika Tamthilia ya 'Mstahiki Meya'. n k

Información del contacto:
Teléfono: +254718055483
Dirección de correo electrónico: mwalimusifuna@gmail.com
WhatsApp: https://api.whatsapp.com/send?phone=+254718055483
Página de Facebook: https://www.facebook.com/profile.php?id=100088220378456
Canal de YouTube: https://youtube.com/@mwalimu_Sifuna
Más información

Publicidad