Utangulizi ، جلادا ، أنواني ، مودوي ، واهوسيكا ، مبينو زا أوسيمي ، ماسوالي n.k.

احدث اصدار

الإصدار
تحديث
٠٥‏/٠٩‏/٢٠٢٣
مطوّر البرامج
الفئة
Google Play ID
عمليات التثبيت
١٠٬٠٠٠+

App APKs

Mwongozo wa Bembea ya Maisha APP

Madhumni ya kuandika mwongozo huu ni kumrahisishia mwalimu na mwanafunzi kazi na kumpa mwelekeo unaofaa. Mwongozo huu umeeangazia masuala ibuka katika utahini wa karatasi ya tatu ya kiswahili katika mtihani wa KCSE.

Kitabu hiki kimeangazia vipengele vya uandishi wa Fasihi Andishi. ك. Mtindo ، Dhamira ، Wahusika ، Muundo ، Maudhui ، Lugha n.k

Tamthilia ya 'Bembea ya Maisha' ni Kitabu ambacho kimeandikwa na Mwandishi shupavu na mashuhuri nchini kenya Timothy Arege ambaye pia aliandika Tamthilia ya 'Mstahiki Meya. n.k

معلومات التواصل:
الهاتف: + 254718055483
عنوان البريد الإلكتروني: mwalimusifuna@gmail.com
WhatsApp: https://api.whatsapp.com/send؟
صفحة الفيسبوك: https://www.facebook.com/profile.php؟id=100088220378456
قناة اليوتيوب: https://youtube.com/@mwalimu_Sifuna
قراءة المزيد

اعلان