Kuza Business APP
Ukiwa na app ya Kuza Business unaweza kufanya yafuatayo;
- Kurekodi bidhaa zako yani 股票
- Kurekodi Mauzo Yako
- Kurekodi Madeni unayodai na unayodaiwa
- Kurekodi Matumizi Yanayohusu Biashara Yako
- Kurekodi wateja wako
- Unaweza kuongeza wauzaji na kuwawekea mipaka
- Na Kutunza taarifa zingine zote za msingi zinazohusu biashara yako kama watu unaowadai, wanaokudai na taarifa zingine nyingi za msingi。
Karibu Kuza 业务 Uweze Kukuza Biashara Yako
Kuza Business 是一款簿记移动应用程序,供企业记录和存储其业务数据和销售、支出、债务和库存管理等详细信息。 Kuza Business 通过根据业务数据做出明智的决策,使企业可以轻松地发展业务