Kuza Business APP
Ukiwa na app ya Kuza Business unaweza kufanya yafuatayo ؛
- Kurekodi bidhaa zako yani Stock
- Kurekodi Mauzo Yako
- Kurekodi Madeni unayodai na unayodaiwa
- Kurekodi Matumizi Yanayohusu Biashara Yako
- Kurekodi wateja wako
- Unaweza kuongeza wauzaji na kuwawekea mipaka
- Na Kutunza taarifa zingine zote za msingi zinazohusu biashara yako kama watu unaowadai، wanaokudai na taarifa zingine nyingi za msingi.
كاريبو كوزا بيزنس Uweze Kukuza Biashara Yako
كوزا بيزنس هو تطبيق جوال لمسك الدفاتر للشركات لتسجيل وتخزين بيانات وتفاصيل أعمالهم مثل المبيعات والإنفاق والديون وإدارة المخزون. يسهل Kuza Business على الشركات تنمية أعمالها من خلال اتخاذ قرارات مستنيرة من بيانات الأعمال الخاصة بهم