Kuza Business ti aiuta a gestire e tenere traccia della tua attività quotidiana

Ultima versione

Versione
Aggiornare
9 dic 2024
Sviluppatore
Categoria
Google Play ID
Installazioni
10.000+

Kuza Business APP

Kuza Business ni applikesheni ya simu inayomuwezesha mfanyabiashara kurekodi na kutunza taarifa zake zote za msingi kuhusu biashara yake kama bidhaa, mauzo, madeni na matumizi.

Ukiwa na app ya Kuza Business unaweza kufanya yafuatayo;

- Kurekodi bidhaa zako yani Stock
- Kurekodi Mauzo Yako
- Kurekodi Madeni unayodai na unayodaiwa
- Kurekodi Matumizi Yanayohusu Biashara Yako
- Kurekodi wateja wako
- Unaweza kuongeza wauzaji na kuwawekea mipaka
- Na Kutunza taarifa zingine zote za msingi zinazohusu biashara yako kama watu unaowadai, wanaokudai na taarifa zingine nyingi za msingi.

Karibu Kuza Business Uweze Kukuza Biashara Yako


Kuza Business è un'app mobile di contabilità per le aziende per registrare e archiviare i propri dati aziendali e dettagli come vendite, spese, debiti e gestione dell'inventario. Kuza Business consente alle aziende di far crescere facilmente le proprie attività prendendo decisioni informate dai propri dati aziendali
Ulteriori informazioni

Pubblicità