Kuza Business APP
Ukiwa na app ya Kuza Business unaweza kufanya yafuatayo;
- Estoque Kurekodi bidhaa zako yani
-Kurekodi Mauzo Yako
- Kurekodi Madeni unayodai na unayodaiwa
- Kurekodi Matumizi Yanayohusu Biashara Yako
- Kurekodi wateja wako
- Unaweza kuongeza wauzaji na kuwawekea mipaka
- Na Kutunza taarifa zingine zote za msingi zinazohusu biashara yako kama watu unaowadai, wanaokudai na taarifa zingine nyingi za msingi.
Karibu Kuza Negócios Uweze Kukuza Biashara Yako
O Kuza Business é um aplicativo móvel de contabilidade para empresas registrarem e armazenarem seus dados comerciais e detalhes como vendas, gastos, dívidas e gerenciamento de estoque. O Kuza Business torna mais fácil para as empresas expandirem seus negócios, tomando decisões informadas a partir de seus dados comerciais