Gospel Kitaa APP
***
Mừng Kitaa ni tovuti ya kijamii na-ki Kristo inayoongoza Kwa kutoa habari mpya kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na duniani Kwa ujumla. Tovuti hii inayolenga wazungumzaji wa Kiswahili Dunia Nzima, imeshajishindia tuzo kadhaa Kwa uenezi sau wa habari Kwa jamii. Ungana nasi Kwa ajili ya kupata taarifa mpya Kwa Kadri zinavyotufikia.