Gospel Kitaa APP
***
Vangelo Kitaa ni tovuti ya kijamii na ki-Kristo inayoongoza kwa kutoa habari mpya kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na Duniani kwa ujumla. Tovuti hii inayolenga wazungumzaji wa Kiswahili Dunia Nzima, imeshajishindia Tuzo kadhaa kwa uenezi scia wa habari kwa Jamii. Ungana nasi kwa Ajili ya kupata taarifa mpya kwa Kadri zinavyotufikia.