Pata Huduma ya Lesoni na mengine mengí kwa ajili ya ustawi wa Kiroho.

Ostatnia Wersja

Wersja
Aktualizuj
14 sty 2025
Deweloper
Instalacje
50 000+

App APKs

Kua Kiroho SDA. Lesoni — 2025 APP

Kua Kiroho ni programu tumishi yenye mpango endelevu wa kuwa kituo chenye hamasa katika kuleta ustawi wa kiroho. Kwa waadventista wasabato pata huduma ya Lesoni kwa mwaka mzima, Robo ya kwanza, robo ya pili, robo ya tatu na hatimaye robo ya nne. Program ina vipengele vifuatavyo.


—Lesoni
— Nyimbo za Kikristo
—Biblia takatifu


— Usomaji wa Biblia.
— Nukuu ja Leo
—Masomo

— Tulia kwa Yesu
— Ahadi za Mungu.
Więcej informacji

Reklama