Kua Kiroho ni programu tumishi yenye mpango endelevu wa kuwa kituo chenye hamasa katika kuleta ustawi wa kiroho. Kwa waadventista wasabato pata huduma ya Lesoni kwa mwaka mzima, Robo ya kwanza, robo ya pili, robo ya tatu na hatimaye robo ya nne. Programu ina vipengele vifuatavyo.
—Lesoni
—Nyimbo za Kikristo
—Biblia takatifu
—Usomaji wa Biblia.
—Nuku ya Leo
—Masomo
—Tulia Kwa Yesu
—Ahadi za Mungu.