Ajira portal mobiele applicatie
Ajira Portal Mobile App ni programma inayowezesha Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi zilizo wazi kwenye Utumishi wa Umma. Watumiaji wa programu hii wataweza pia kupata taarifa muhimu kuhusu nafasi za kazi pamoja na mchakato mzima wa Ajira.
Meer informatie
Advertentie
Advertentie