Ajira portal mobile application
Ajira Portal Mobile App ni programu inayowezesha Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi zilizo wazi kwenye Utumishi wa Umma. Watumiaji wa programu hii wataweza pia kupata taarifa muhimu kuhusu nafasi za kazi pamoja na mchakato mzima wa Ajira.
Read more
Advertisement
Advertisement