Dakika APP
Una vez que tenga la aplicación Dakika, estará a cargo de elegir cómo desea hablar con ellos, ya sea a través de una videollamada, una llamada de audio, un chat o simplemente una reunión cara a cara.
Aplicación inayokuwezesha kuzungumza na watu mashuhuri, washauri na wawekezaji. Iwe unataka kupata ushauri kuhusu maisha, kipaji, biashara, au unahitaji tu kuelezea wazo lako la kibiashara kwa wawekezaji au kuonyesha kipaji chako kwa wenye majukwaa, Dakika app itarahisha kuwasiliana nao kwa uhakika kwa Kupitia videollamada llamada de audio au kuonana nao uso kwa uso.