Dakika APP
Once you have Dakika app your in charge to choose how you want to talk to them whether through video call, audio call, chatting or just meeting face to face.
Application inayokuwezesha kuzungumza na watu mashuhuri, washauri na wawekezaji. Iwe unataka kupata ushauri kuhusu maisha, kipaji, biashara, au unahitaji tu kuelezea wazo lako la kibiashara kwa wawekezaji au kuonyesha kipaji chako kwa wenye majukwaa, Dakika app itarahisisha kuwasiliana nao kwa uhakika kwa Kupitia video call audio call au kuonana nao uso kwa uso.