Ticha Zungu - Jifunze English APP
> Daunlodi aplikesheni ya Ticha Zungu ili uanze kujifunza Kiingereza cha kusoma, kuongea, kusikia, na kuandika mda wowote, siku yoyote unapokuwa na nafasi.
-> Ndani ya aplikesheni kuna masomo ya miezi mitatu. Kila somo lina sehemu nne:
- Sehemu ya kuzungumza laivu na mzungu kwa Kiingereza huku ukipata msaada kutoka kwa Ticha Zungu.
- Sehemu ya kusikiliza video ya somo.
- Sehemu ya kujifunza maneno ya Kiingereza na tafsiri zake, namna yanavyotamkwa, na kurudia kuyatamka.
- Sehemu ya maswali ya kutafsiri sentensi za Kiingereza kuringana na somo la video ulilofundishwa na maneno uliyojifunza, kusikiliza hizo sentensi zinavyotamkwa, na kurudia kuzitamka kwa Kiingereza.
-> Ukikamilisha masomo ya mwezi mmoja utajua Kiingereza kiasi kikubwa, na ukikamilisha miezi mitatu Kiingereza hakitokusumbua tena.
-> Ada ni 10,000 na ni ya muda wa miezi mitatu.