Unduh Lesoni, Mwongozo wa kujifunza Biblia kwa watu wazima.
Aplikasi ya simu kwaajili ya kumwezesha mtumiaji wa simu ya mkononi au tablet kupata masomo ya Lesoni (Mwongozo wa kujifunza Biblia kwa watu wazima) sawa sawa na mtu mwenye nakala halisi (real hard copy)