Vichwa vya habari kwenye Magazeti ya Tansania kila siku

Aktuelle Version

Magazeti Ya Tanzania Kila Siku APP

Kuwa mtu wa kwanza kupata habari zote za siasa, michezo, udaku na habari zote ambazo zinatokea ndani na nje ya Tanzania kupitia app hii.

Pia ukiwa na app hii utaweza kupata habari zote za magazeti ya siku ya leo. Pia kupitia app hii utaweza kupata makala za mafanikio, kilimo, makala za afya, makala za biashara.

Hii ni app itakayokupa uwezo wa kusoma habari mbalimbali kutoka vyanzo mbalimbali vinavyo aminika nchini Tansania. Kupitia Magazeti utaweza kusoma habari mbalimbali ikiwa pamoja na Magazeti ya Leo kila siku.
Weitere Informationen

Werbung