Dawa APP
Matumizi - Hapa hueleza kuhusu mtumizi, jinsi inavyofanya kazi na aina ya dawa husika.
Onyo na tahadhari - Hapa hueleza juu ya tahadhari unazopaswa kuchukua utumiapo dawa husika.
Muingiliano - Hapa hueleza kuhusu dawa zingine na chakula vinavyoweza kuingiliana na dawa hii.
Madhara - Hapa panaeleza kuhusu madhara makubwa na madogo/maudhi unayoweza kupata na hatua za kuchukua.
Namna ya kutumia - sehemu hii hukupa mwanga kuhusu jinsi dawa husika hutumika. Sehemu hii hukupa mwanga tu , mara zote fuata maelezo ya mtaalamu wako wa afya kuhusu namna ya kutumia dawa.